HAYA HAPA MATOKEO YA YANGA DHIDI YA NJOMBE MJI



Dakika ya 47 Yanga 1-Njombe 0, limefungwa na Obrey Chirwa

Golikipa wa Njombe anapigwa kadi nyekundu

Yanga wanapata penati
Dakika ya 63 Yanga wanaongeza bao la pili linalofungwa na Obrey Chirwa

Goooooooooooooooooooo!!!!!!!! Yanga wanaongeza goli la tatu dakika ya 68  linalofungwa na Emmanueli Martine

Gooooooooooooooooooooo!!!!!!!! Obrey Chirwa anaongeza bao la nne dakika ya 89

MPIRA UMEKWISHAAAAAAAAAAAAAAAA.............

YANGA 4 NJOMBE MJI 0

No comments: