TAREHE YA MECHI YA SIMBA NA YANGA (WATANI WA JADI) YATAJWA...ISOME HAPA
Watani wa jadi na timu kongwe nchini Tanzania Simba na Yanga zinatarajia kukutana tena katika mechi za ligi kuu Tanzania bara.
Kwa mujibu wa ratiba ya ligi kuu kama hakutakuwa na mabadiliko, timu hizo zinatarajia kushuka dimbani siku ya Jumamosi ya tarehe 7/04/2018,mchezo utakaopigwa katika uwanja wa Uhuru jijini Dar es salaam.
Baada ya mechi hiyo kila timu itakuwa imebakisha mechi sita mpaka kumaliza ligi kuu msimu huu 2017/2018.
Ikumbukwe kuwa mechi ya mwisho dhidi ya timu hizo ilichezwa mwaka jana katika uwanja wa Uhuru huku timu hizo zikitoka sare kwa kufungana gori 1-1. Hadi sasa Simba wanaongoza ligi wakiwa na pointi 41 wakifuatiwa na Yanga wenye pointi 34
No comments: