MBINU ZA KUJIZUIA KUFIKA KILELENI MAPEMA KWA WANAUME
Wanawake wengi wanagombana na watu wao na hata wengine kusaliti mahusiano yao kwa sababu hawavutiwi kuwaona waume zao wakiwahi kufika kileleni,hivyo kushindwa kuwapa dozi inayotesheleza.Tatizo kubwa linalowasumbua wanaume wengi wenye tatizo la kufika kileleni mapema ni kuwa na Pupa na haraka ya kufanya mapenzi.Wengi wao hupokea hisia zilizokuzwa na kwenda nazo katika ufanyaji wa tendo la ndoa.Saikolojia inaelekeza kuwa ili mwanaume achelewe kumaliza ni lazima apunguze mhemko unaotokana na kuona,kuhisi na kupagawishwa na staili,maumbile au chombezo toka kwa mwanamke.
1.Kutumia zaidi ya dakika 20 kufanya maandalizi na mpenzi wako kabla ya kuanza tendo.Hii itasaidia kuufanya mhemko wako ushuke na kumuongezea kujiamini na pia kumuongezea muda zaidi wa kumaliza.
2.Mbinu nyingine ni ile ya kuidanganya akili ni lazima itumike ili kuzima taarifa za juu za uzuri wa mwanamke,maumbile na raha ya starehe isipokelewe kwa nguvu kubwa mwilini.Hii ikiwa na maana kuwa kuna kipindi inabidi fikra za mwanaume zisihamasike sana kwenye tendo badala yake iletwe mawazoni hali ya kawaida,si ile ya kuweweseka na kuhemahema ovyo.
3.Pia inashauriwa kuwa mume ma mke wanapoingia katika uwanja wa mapenzi wakae kwanza kwa muda,huku wakiwa wamejiachia na mavazi mepesi,lakini pia wacheze michezo mingi kwa muda mrefu bila kuanza kazi yao.Wakiwa kwenye hamasa hizo wasiwe kimya
4.Mbinu nyingine ni ile ya mwanaume kujibana akiona dalili za awali za kumaliza bila kujali ametumia muda gani,anachotakiwa kufamya ni kukaza misuli ya miguu na kuzuia mbegu kwa mtindo atumiao kuzuia haja ndogo isitoke,kujibana huko pia kumatakiwa kuende sambamba na kuacha kucheza “shoo” pamoja na hilo mwanaume anatakiwa aidanganye akili kwa kulazimisha iwaze jambo jingine ili kuharibu taarifa za raha zilizotumwa mwilini zisiendelee kufanyiwa kazi na hatimaye kumfanya kumaliza tendo haraka
Zoezi hili linaweza kuwa gumu katika hatua za kwanza kutokana na kukosea muda sahihi wa kijizuia,lakini mhusika akiendelea kukizoeza atajikuta anaweza na kupata uwezo wa kufanya mapenzi hata kwa saa nzima hivyo kuondokana na tatizo hilo.
N:B-
Kwa wale waliozoea kujichua wanashauriwa kuacha mara moja kwani ni sababu pia ya wao kufika kileleni mapema,hii ni kwa wanakuwa wamezoe kutumia ngivu sana hivyo wanapokutana na kiungo halisia “UKE” wanashindwa kujizuia kufika kileleni mapema kutokana na joto la kiungo halisia”UKE” kuwa tofauti na vile walivyozoea.
No comments: